
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza kutumika nchini kuanzia leo Jumatano, januari 7,2026 zikionesha mabadiliko mbalimbali kulingana na bandari na aina ya bidhaa.






Tags
BEI MPYA ZA MAFUTA