BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI GWAJIMA AMSAKA ALIYESEMA HAWEZI KUMNYIMA KINYUME NA MAUMBILE MWANAUME


 Kuanzia juzi ilisambaa video ya huyu dada akisema yeye hawezi Kumnyima kinye,,,,O mwanaume anaye mpa pesa, kwenye video hiyo alinukuliwa akisema;

"Kama mwanaume ananipa pesa ikitokea siku ananiomba kinye0️⃣ kwanini nimnyime, 

mwanaume kama anipa pesa Nampa tu kinye0️⃣"

Binti huyu Sasa ni rasmi ameingia kwenye mikono ya waziri Dorothy Gwajima.

Anaandika Waziri Gwajima✍🏽

Huyu ni nani,  nampataje maana kama anayosema siyo AI basi tunahitaji kwenda kukarabati akili yake. Halafu,  sasa naanza mkakati wa pia kuwatafuta na wazazi wao na wazee wa mitaa na vijiji vyao na viongozi wao wa dini ili tushirikiane kujadili watu aina hii walizaliwa wakiwa na hitilafu gani kwani? Na ipi ni mikakati yao? Hii itaenda sambamba na hatua za kisheria vilevile. 

Haya niambieni nampataje huyu, jina lake, simu yake, anaishi mkoa gani, wilaya gani, kata gani, mtaa au kijiji gani ili nianze kuwapigia Serikali ya mtaa wao.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG