BANDA MEDIA BLOG

FUNDI SANIFU WA MSD AFNYIA MATENGENEZO KINGA MASHINE YA KUSAFISHA DAMU (UDOM) HOSPITAL

 

Fundi Sanifu wa Bohari ya Dawa (MSD) Raiyah Said akifanya matengenezo Kinga ya mashine ya kusafisha damu na ile ya upasuaji Vyote vya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Pamoja na usambazaji wa bidhaa za afya MSD pia hufunga na kuzifanyia matengeneo kinga pale inapohitajika mashine zote za matibabu ambazo imezinunua, kuzisambaza na kizifinga kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchi. 

MSD hufanya matengenezo hayo kwa kutumia mafundi sanifu wake ambao wamepatiwa mafunzo ya kuzifungua na kuzifanyia marekebisho pale mashine hizo zinapokuwa zimepata hitilafu, lengo likiwa kuhakikisha huduma kwa wananchi hazisimami au kukwama.   

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG