Muigizaji maarufu wa filamu za ngono duniani Jazmine Cashmere (42) ametangaza rasmi kuokoka na kuachana na kazi hiyo ambapo sasa amemrudia Mungu ameolewa na ni mchungaji anahubiri neno la Mungu kuhusu toba na habari za ufalme wa Mungu
Jazmine ambaye ameacha historia katika tasnia ya filamu hizo amecheza zaidi ya filamu 100(video nzima/movie za saa 1:30 mpaka masaa mawili) na wanaume tofauti tofauti kwa mamia
Katika kazi yake ya awali alisifika kwa mitindo mbalimbali na uwezo mkubwa wa kufanya michezo hiyo ya kingono
Maisha ya Jazmine yalikuwa yamejaa ufuska ila hatimaye neema ya Mungu imemfikia ameamua kumrudia Mungu na kuachana na dhambi za dunia
Hata wewe unayeangalia video hizo unaweza kutubu na kumrudia Mungu leo✅✅✅
Chanzo ni mitandao
Tags
DINI NA MADHEHEBU



