BANDA MEDIA BLOG

YANGA SC YASONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 


FT: Yanga 2-1 Gaborone Utd (agg 3-2)
⚽️ Shalulile
⚽️Toure

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamefanikiwa kusonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Gaborone United ya Botswana.

Mchezo huo wa marudiano umechezwa  Septemba 9, 2026, katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa wiki iliyopita nchini Botswana, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

Kwa matokeo hayo, Yanga SC imesonga mbele kwa jumla ya mabao 3-2 katika michezo miwili ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG