Ujenzi wa Mradi wa NHC Morocco Square ukiendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 kama unavyoonekana katika eneo la Morocco jijini Dar es Salaam leo
| Maandalizi ya Mradi wa Ujenzi wa NHC Golden Premier Residence yakiendelea kwenye kitalu nambari 711/2 Kawe jijini Dar es Salaam leo. |
| Ujenzi wa Mradi wa NHC Seven Eleven ukiendelea kwenye kitalu nambari 711/1 Kawe Beach jijini Dar es Salaam leo. |
| Mhandisi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Seven Eleven akitoa maelezo namna ujenzi wa mradi huo unavyoendelea kwenye kitalu nambari 711/1 Kawe Beach jijini Dar es Salaam. |
Ghorofa ya chini ya NHC Victoria Place yenye ukubwa wa ekari mbili ambayo ni mojawapo ya Basement kubwa jijini Dar es Salaam inavyoonekana kwa sasa kwenye kitalu nambari 36 &37 Victoria jijini Dar es Salaam leo. Ghorofa hiyo ya chini itatumika kuegesha magari zaidi ya 100 ya wamiliki wa nyumba wa jengo hilo.
Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa na menejimenti ya NHC wakipata maelezo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Victoria unavyoendelea kwenye kitalu nambari 36 &37 jijini Dar es Salaam.
Ujenzi wa Mradi wa NHC Morocco Square ukiendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 kama unavyoonekana katika eneo la Morocco jijini Dar es Salaam leo.
Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa na menejimenti ya NHC wakipata maelezo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa NHC Morocco Square unavyoendelea kwenye kitalu nambari 1,2, 3 & 44 jijini Dar es Salaam.
Jengo la Makazi la ubia kati ya NHC na Q -Park LTD lililopo katika barabara ya Haille Sellasie linavyoonekana kwa sasa ni mojawapo ya mirad ya ubia na NHC yenye mafanikio makubwa ni miongoni mwa ile iliyotembelewa na Bodi leo.
Jengo la Eco Residence linavyoonekana leo ni mojawpo ya miradi iliyotembelewa na Bodi ya Wakurugenzi ya NHC leo. |
Ndani ya jengo la NHC House leo
Ndani ya jengo la NHC House leo
Ndani ya jengo la NHC House leo
Ndani ya jengo la NHC House leo
Tags
HABARI KITAIFA