WADAU
wa kupambana na vitendo vya Udhalilishaji wa kijinsi kisiwani Pemba,
wakimsikiliza mkuu wa kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Dina Juma
Mkota wakati akitoa takuwimu za udhalilishaji kwa kipindi cha Disemba
2014 hadi Augost 2015, katika ukumbi wa Idara ya Ustawi wa Jamii
Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Kutoka Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Pemba Dina Juma Mkota, akifungua kongamano la siku moja lililowashirikisha wadau wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Tags
HABARI KITAIFA