BANDA MEDIA BLOG

DOM CITY YA NZUGUNI YANYAKUA NG'OMBE MNYAMA MBELEYA CHADULU



Mchezaji wa timu ya Dom City [jazi ya Blue] akigombea mpira na mchezaji wa chadulu


Kiungo wa Dom City akichanja mbuga kwenda kumsalimia mlinda mlango wa Chadulu

Mabeki wa Chadulu wakiudhibiti mpira
Mashabiki wa Dom City wakishangili kwa kumbeba Mfungaji wa Goli la ushindi katika fainali ya Ng'ombe Mnyama Mathias Kamate mkazi wa Nzuguni Dodoma
Katibu wa Mashinda ya kugombea Ng'ombe Mnyama yaliyoandaliwa na Kamate Cup, Jofrey Chipugu akiisoma Risala Mbele ya Wageni waliohudhuria katika mashindano hayo kabla ya zawadi kugawiwa kwa washindi
Diwani wa Nzuguni Aloyce Luwega akifafanua jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi

Diwani wa Kata ya Nzuguni Aloyce Luwena akimkabidhi Nahodha wa Small Boys Mbuzi wawili kutokana na timu yake kushika nafasi ya tatu katika mashindano hayo
Nahodha wa Dom City Josephu Kado akipokea Ng'ombe Mnyama toka kwa mgeni Rasmi Baada ya timu yake Kuibuka na ushindi wa 2.1 Dhidi ya Chadulu katika mchezo wa fainali
Zawadi ya mbuzi wa tatu kwa mshindi wa nafasi ya pili Chadulu
Mshabiki wakifurahia baada ya timu yao ya Dom City kukabidhiwa Ng'ombe huyo

wachezaji wa Dom City wakifurahia kabla ya kukabidhiwa zawadi ya Ng'ombe

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG