Wakati kesho Starss inashuka dimbani kutafuta ushindi mbele ya
Algeria kwenye harakati za kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia
nchini Urusi mwaka 2018, jana kuna michezo kadhaa ilipigwa katika ukanda
wa Afrika.
Matokeo ya michezo iliyopigwa jana kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia yapo kama ifuatavyo.
|