Leo nimeshiriki kama Mgeni Rasmi katika mahafali ya 28 kituo cha
elimu ya awali kwa ajili ya watoto walemavu wa akili kijulikanacho kama
MIYUJI CHESHIRE HOME
.
Kupitia hotua yangu nimetoa rai kwa wananchi wa Jimbo la Dodoma Mjini kujenga utamaduni wa kusaidia watu wenye mahitaji maalum na kuona na wenyewe kama kundi amabalo linahitaji huruma yetu na kujitoa kwetu kama ambavyo tumekuwa tukichangia shughuli mbalimbali za kijamii.
Binafsi nimeanza kwa kuonyesha njia kwa kuchangia madaftari,peni,penseli,unga wa ngano,sukari,juisi na pia nimechangia magodoro yenye thamani ya shilingi laki 5.
Tuungane sote pamoja katika kutatua changamoto katika jamii#DodomaMpya

Tags
HABARI KITAIFA