| Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika Soko la Ndizi la Mabibo. |
| Hapa akiwaunga mkono wananchi kununua mananasi katika soko la ndizi la mabibo |
| Mbunge Kubenea akisalimiana na wananchi katika soko hilo. |
| Hapa akiwahutubia wananchi katika soko la Mabibo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062) |
Tags
SIASA