Rais Dkt
John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi
Ofisi ya Rais leo Novemba 12, 2015
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Obeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiongea kabla ya kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam

![]() |
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2015
|
Tags
HABARI KITAIFA