| Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodrignez katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wakazi wa kijiji cha manchali wilayani chamwino Dodoma mara baada ya kuzindua mradi wa ufugaji Nguruwe. |
| Nguruwe wakiwa kwenye Banda lao |
| Mwakilishi wa UNFPA Dkt, Hashina Begum akimtwisha Ndoo ya Maji Mkazi wa Kijiji hicho mara baada ya uzinduzi wa kisima Cha maji |
| Mkurugenzi wa UNDP Awa Dabo akimtwisha Mkazi dumu la maji kwenye uzinduzi huo |
| Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Alvaro Rodriguez akipanda mti wa kumbukumbu wakati wa uzinduzi huo |
| Awa Dabo akipanda miti |
| picha baada ya kuzindua Kisima cha maji |
| Hoyce Temu akifali hotuba ya Mkurugenzi wa UNDP Awa Dabo kwa wakazi wa Manchali |
| Namwagilia mimi mti huu usife |
| Hata mimi hivyo hivyo muumwagilie kama mimi |
| Hapa kazi Tu Awa Dabo |
Tags
HABARI KITAIFA