BANDA MEDIA BLOG

VYOMBO VYA HABARI VYA CHINA NA WANANCHI WALALAMIKIA UCHAFUZI WA HALI YA HEWA


Vyombo vya habari vya China na wananchi wamelalamikia kiasi kikubwa cha uchafuzi wa hewa katika mji wa kusini wa Shenyang, ambao wanaharakati wamesema ni mchafuzi mbaya kuwahi kutokea katika nchi hiyo.

Hadi siku ya jumapili kiwango cha kipimo uchafuzi wa hewa kilionyesha alama mara 50 juu, ya kiwango cha uchafuzi wa hewa kinachochukuliwa kuwa ni salama na Shirika la Afya Duniani.

Chombo cha habari cha umma kimeishutumu serikali ya mji huo kwa kuachilia hali hiyo ya kuwepo kwa moshi mzito.

Uchafuzi wa hali ya hewa ni tatizo sugu kaskazini mashariki mwa China, ambako kunaviwanda vingi vya makaa ya mawe.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG