BANDA MEDIA BLOG

MVUA YA GHARIKA YATISHIA KUCHOCHEA MAAFA ZAIDI ULAYA

Mvua ya gharika mpya inatishia kuchochea maafa zaidi katika maeneo kadhaa ya Ulaya, yakiwemo maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko.

Mvua ya gharika Frank, inatarajiwa kuanza jana jioni, huku maeneo ya Cumbria na kusini na kati ya Scotland yakiwa hatarini.

Kumekuwepo na tahadhari tisa za mafuriko, yakimaanisha hatari kwa maisha ya watu na wanyama Uingereza, Wales hususan katikati ya York ambayo yameathiriwa vibaya na mafuriko jumamosi.

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ametetea matumizi ya serikali yake katika kukabiliana na mafuriko baada ya madhara kutokea kaskazini mwa Uingereza.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG