| Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Aisha Malima akionesha alama zilizowekwa katika maeneo ya Bamaga
ikiashiria kuwa tayari ujenzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco
imeshaanza kufanya kazi tangu Desemba Mosi, mwaka huu na inatarajiwa
kuisha baada ya miezi sita. |