BANDA MEDIA BLOG

VIBANDA 100 VYA WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAJENGO VIKO HATARINI KUVUNJWA ILI KUPISHA USAFI, WENYEWE WAJA JUU WAKIDAI WAPO KIHALALI

Bidha mbalimbali zilizopo katika mabanda yaliyopo katika soko la majengo ambayo yanatakiwa kuvunjwa na manispaa ili kupisha usafi.
Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma Clemency Mkusa akifafanua jambo katika mkutano na wafanyabiashara wa soko la majengo
PICHA ZOTE NA JOHN BANDA
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Soko la Majengo Godson Lugazama akizungumza katika mkutano huo
Baadhi ya wafanyabiashara wakiwa mbele ya ofisi za soko hilo kulikofanyika mkutano huo
Sehemu ya Kuta zinazotakiwa kuvunjwa ili kupisha njia ya kupitisha magari yatakayokuwa yakipita kufanya usafi katika mtaro huo.
Wafanyabiashara wa soko hilo wakionekana katika taswira Tofauti wakati mkutano huo ukiendelea

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG