BANDA MEDIA BLOG

WANANCHI WA MTAA WA MSANGALALE KATA YA MAKULU DODOMA WAMENG'OA BIKONI ZILIZOWEKWA NA GEPF KWENYE MASHAMBA YAO

Wananchi wa mtaa wa Msangalale kata ya makulu waking'oa alama za mipaka zilizowekwa katika mashamba yao na Mfuku wa GEPF bila wananchia hao kuwa na taarifa.
Nguzo kwa ajili ya Alama za mipaka  zikiwa zimewekwa katika masahamba ya wananchi wa mtaa wa msangalale , huku wananchi hao wakidai hawana taarifa yoyote ya uwekwaji wake



Wananchi




waking'oa





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG