HomeHABARI KITAIFA WAZIRI MAHIGA AKUTANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEPO NCHINI byJohn Banda -Thursday, December 31, 2015 0 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Mhe. Abdullah Jassim Almaadadi alipofika Wizarani kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa katika wadhifa wake mpya na pia kumhakikishia ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar. Mazungumzo hayo yalifanyika tarehe 30 Desemba, 2015. Balozi Al maadadi naye akizungumza huku Mhe. Mahiga akimsikiliza. Mazungumzo yakiendelea Waziri Mahiga akiagana na Balozi Al Maadadi mara baada ya kumaliza mazungumzo. Tags HABARI KITAIFA Facebook Twitter