Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali ya Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole
Gabriel kulia akiongea na na Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya
China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na
uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na
China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na
Benjamin Sawe- WHUSM).
Kiongozi
wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa
kwanza kushoto akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na
uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na
China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na
Benjamin Sawe- WHUSM)
Kiongozi
wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa
kwanza kushoto akimpa zawadi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel mara baada ya mazungumzo ya
uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na
China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa.(Picha na Benjamin Sawe-
WHUSM)
Tags
HABARI KITAIFA