HomeKIBURUDANI MUME WA MWANAMUZIKI CELINE DION AFARIKI DUNIA BAADA YA KUUGUA KANSA KWA MUDA MREFU byJohn Banda -Friday, January 15, 2016 0 Mwanamuziki Celine Dion akiwa na mumewe René Angélil ( picha hii ilipigwa mwaka 2011). Mume wa mwanamuziki Celine Dion, René Angélil amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. René Angélil ameaga dunia jana alhamisi akiwa nyumbani kwake Las Vegas baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu. Taarifa iliyotolewa na familia yake imesema kuwa, René Angélil amekuwa akipambana na ugonjwa huo kwa muda mrefu. Tags KIBURUDANI Facebook Twitter