Miss
Tanzania USA Aeesha Kamara akipata picha ya upendeleo alipofika kwenye
mkesha wa mwka mpya ulioandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV siku ya
Alhamisi Desemba 31, 2016 Lanham, Maryalnd nchini Marekani. PICHA NA
KILIMANJARO STUDIO
Asha
Hariz Kushoto) pamoja na mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini wakipata
picha ya pamoja na Miss Tanzania USA Pageant alipohudhuria mkesha wa
mwaka mpya DMV.
Aeesha Kamara katika picha ya pamoja
na msanii Patience Ibembo wa Congo mwenye makzi yake Marekani kwa sasa
ambaye zamani alikuamcheza show wa Koffi Olomide.
Kutoka
kushoto ni Patience Ibembo, Aeesha Kamara, Mama Winny Casey Mratibu wa
Miss Tanzania USA na Rukia Malipula ambaye ni mama mzazi wa Aeesha
Kamara.
Aeesha
Kamara akitangaza kalenda ya 2016 iliyotengenezwa na Miss Africa USA na
pichga yake kutumika kwenye kalenda hiyo baada ya kuwashinda mamiss
wengine wa Africa shindano lililofanyika New York Novemba 2015.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
ASYA IDAROUS KHAMSINI ANOGESHA MKESHA WA MWAKA MPYA DMV
Mlimbwende akipita mbele ya
mashabiki wa mitindo kuoka kwa gwiji la mitindo Tanzania mama Asya
Idarous Khamsini aliponogesha mkesha wa mwaka mpya 2016 uliofanyika
Lahnam, Maryaland nchini Marekani. PICHA NA KILIMANJARO STUDIO
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki.
Ni vivazi vya mama wa mitindo Asya Idarous Khamisni.
Mtoto manshallah akiwa ndani ya vazi la mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini.
Mlimbwende akipita mbele ya mashabiki wa vivazi.
Ilikua ni vivazi kwa kwenda mbele.
Kijana akijitanashati na kivazi cha Asya Idarous Khamsini.
Gwiji la mitindo na walimbwende wake.
Tags
KIBURUDANI