HomeHABARI KITAIFA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA, MHANDISI SULEIMAN AFARIKI DUNIA byJohn Banda -Monday, January 18, 2016 0 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania, Mhandisi Suleiman Said Suleiman ( mwenye miwani ) amefariki dunia leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa, Mhandisi Suleiman alifariki dunia wakati akiwa mazoezi ya kuogelea. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina. Tags HABARI KITAIFA Facebook Twitter