BANDA MEDIA BLOG

SERENA WILLIAMS ATINGA KATIKA RAUNDI YA PILI YA AUSTRALIA OPEN

Bingwa mtetezi Serena Williams ametinga katika raundi ya pili ya michuano ya wazi ya Australia kwa ushindi wa seti 6-4 7-5 dhidi ya Muitalia Camila Giorgi.

Mmarekani Serena anajaribu kufikia rekodi iliyowekwa na Steffi Graf ya kutwaa mataji 22 ya 2 Grand Slam, amekuwa akisumbuliwa na tatizo kwenye goti la kushoto.

Hata hivyo Serena, 34, amefanikiwa kupambana vilivyo huku akikabiliana na joto kali la Melbourne na kisha kushinda.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG