Mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa
Jumuia ya Muzdalifah Mkurugenzi kutoka idara ya Mikopo Zanzibar
Suleiman Haji akizungumza na wafanyakazi wa Muzdalifa katika Mkutano
mkuu wa Muzdalifa katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
Baadhi ya washiriki katika Mkutano
Mkuu wa mwaka2015 wa Jumuiya ya Muzdalifah Islamic Charitable
wakimsikiliza kwa makini mwenyekiti hayupo pichani wakati akitoa maelezo
kuhusiana na muzdalifah na kumkaribisha mgeni rasmi katika Ukumbi wa
Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Muzdalifah Farouk
akitoa maelwzo kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu na Kufungua Mkutano huo
katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.Mkutano huo katika
Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
Mwenyekiti wa Muzdalifah Sheikh
Abdalla Hadhar akitoa kuhusiana na muzdalifah na kumkaribisha mgeni
rasmi katika Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Salim
Rashid akitoa mchango wake kuhusiana na maendeleo ya Muzdalifah katika
Ukumbi wa Kidongo Chekundu (MENTAL) Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Tags
HABARI KITAIFA