Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa
Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bi. Rose Olal katikati akiwaelimisha
wajasiriamali hawapo pichani kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huo
kwa hiari,kushoto ni Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Uchangiaji kwa
Hiari PSPF Bw.Ismail Omary.
Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa
Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelimisha
wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na mfuko huo kwa hiari.
Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa
Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelimisha
wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na mfuko huo kwa hiari.
Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa
Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw.Ismail Omary akiongea na mjasiriamali
kulia juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko huo kwa hiari
Tags
BIASHARA