Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Israeli nchini
Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar
es salaam leo January 19, 2016

Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Israeli nchini Mhe
Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es
salaam leo January 19, 2016