Beki
wa Stand, Abuu Ubwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Haruna Chanongo wakiwa
ndani ya ndege kwenda mjini Lubumbashi nchini Dr Congo.
Wakiwa
huko wanatarajia kufanya majaribio ya wiki mbili katika kikosi cha TP
Mazembe na kama wakifuzu, basi wanalamba mkataba saaafi.