Basi la Kampuni ya BM linavyoonekana
baada ya kupata katika eneo la Mikese Mkoani Morogoro chanzo cha ajali
hiyo inadaiwa ni mwendo kasi wa Basi hilo uliopelekea kushindwa
kusimama.
RPC wa Morogoro-Leonard Paul
Tarehe 22/01/2016 majira ya
2130hrs huko eneo la Lubungo Tarafa ya Mikese Wilaya na Mkoa wa Morogoro
barabara ya Morogoro/d,Salaam gari yenye namba za usajili T. 916 BQX
YUTONG BUS mali ya kampuni ya BM COACH iliyokuwa ikiendeshwa na Aloyce
s/o William, 39yrs, Mkaguru, mkazi wa Morogoro ikitokea D’salaam
kuelekea Morogoro iligonga Ubavuni mwa gari yenye namba za usajili T.
184 CGX/T. 859 CXB FAW LORI iliyokuwa ikiendeshwa dereva asiyefahamika
jina alikimbia baada ya ajali, iliyokuwa ikitokea Morogoro kuelekea
D,salaam na kusababisha vifo kwa watu wawili waliokuwa wakisafiri kwa
bus; Capten D.G Minga, 35yrs, mkazi wa SKM Mgulani DSM (2) mwanaume
ambaye hajatambulika, umri kati ya miaka 35 – 45 na majeruhi kwa watu
arobaini na tatu waliokuwa wakisafiri kwa bus hilo na majeruhi
thelathini na tatu; Vedastiani d/o Bishagoma, 22yrs, Mhaya, mkazi wa
Msasani DSM, Samsoni s/o Jeru, 36yrs, Mchaga, mkazi wa Ubungo DSM,
Hadija d/o Omari, 28yrs, Mhehe, mkazi wa Tegeta DSM, Wifrida d/o
Bernard, 22yrs, Mfipa, Askari JWTZ Lugalo, mkazi wa D,Salaam, Silvester
s/o Sangayau, 38yrs, Mpogoro, mkazi wa Itete, Mwasiti d/o Sultan, 42yrs,
Mkutu, mkazi Tabata, Joyce d/o Edward, 32yrs, Muha, mkazi wa Geita,
Brayson s/o Chakiuke, 2yrs, Muha, mkazi wa D,salaam, Haridi s/o Siraji ,
34yrs, Mpogoro, mkazi wa Modeco, Flora d/o Mganga, 38yrs, Mluguru,
mkazi wa Modeco, Msungi d/o Hamisi, 30yrs, Mnyiramba, Kurasini DSM,
Mathar d/o Robin, 49yrs, Mchaga, mkazi wa Nanenane, Yasinta d/o
Severini, 38yrs, Mluguru, mkazi wa Kihonda, Baturi d/o Bakari, 35yrs,
mkazi wa Mafisa , Mkurya, mkazi wa Mafisa, Edwini s/o Ishuba, 22yrs,
Mchaga, mkazi wa Kihonda, Juma s/o Chota, 27yrs, Mluguru, mkazi wa
Karume Morogoro, Flora d/o Bernard, 22yrs, Mmakonde, mkazi wa Mafisa,
Greyson s/o Chagawa, 58yrs, Mpare, mkazi wa Ubungo DSM, Jamila d/o
Matola , 25yrs, Vituka DSM, Mwiyao, mkazi wa Yombo Vituka DSM, Francis
s/o Chua, 26yrs, Mchaga, mkazi wa Bigwa, Grayson s/o Eliniki , 44yrs,
Mpare, mkazi wa Mafiga, Endrew s/o Shaula, 54yrs, Mnyiramba, mkazi wa
Tanga, Christopher s/o Masele, 39yrs, Msukuma, mkazi wa Kihonda
Magorofani, Peter s/o Agostine Mushi, 42yrs, Mchaga, mkazi wa Vibandani,
Rose d/o Michael, 26yrs, Mchaga, mkazi wa Modeco, Wema d/o Tewele.
31yrs, Mbena, mkazi wa Kihonda, Joyce d/o Abisasi, 25yrs, Mjaluo, mkazi
wa Morogoro, Saidi s/o Mnyimba, 47yrs, Mluguru, mkazi wa Tabata DSM,
Jerani s/o Seif , 37yrs, Mluguru, mkazi wa Kinole, Robert s/o Muba,
46yrs , Mndali, mkazi wa Forest, Hanuari s/o Bakari , 19yrs , Msambaa ,
mkazi wa Forest, Anither d/o Temu, 39yrs , Mchaga, mkazi wa Bunju DSM ,
Scolastika d/o Aleni, 24yrs, Msambaa, mkazi wa Mabibo DSM na Bank s/o
Omari, 48yrs, Mluguru, mkazi wa Mwembesongo hawa wamelazwa hospitali ya
Mkoa wa Morogoro ward namba moja na namba tatu na majeruhi tisa
walitibiwa na kuruhusiwa hospitalini hapo. Chanzo cha ajali ni
mwendokasi wa gari T. 916
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
BQX YUTONG BUS.mtuhumiwa amekamatwa.
RPC MOROGORO
Tags
HABARI KITAIFA