![]() |
| Meneja wa Shule ya Dar - ul- Muslimeen Muslim Bhanji akimkabidhi Mmoja wa Wnafunzi wa Shule ya Msingi Medelii moja ya madawati 55 aliyotoa msaada kwa shule hiyo IMEANDALIWA NA BANDA BLOG |
![]() |
| Madawati hayo |
![]() |
| wanafunzi hawa ambao ni viongozi wa Taifa hili hapo baadae wakisoma kwa ugumu kutokana na shule yao kukosa Madawati lakini wenyewe wanabookua kiasi cha kukosekana aliyefeli kwa darasa zima |
![]() |
| Wanafunzi wa shule hiyo wakisoma huku wakiwa wamekaa chini |
![]() |
| Moja ya Darasa linatumika kama jiko huku watoto wakifundishiwa humo |
![]() | ||
|
![]() |
| Ukuta wa Shule ya Msingi Medelii Kata ya Tambukareli Manispaa ya Dodoma ukiwa na ufa mkubwa ambayo ni hatari kwa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo |
![]() |
| Baadhi ya viongozi na walimu wa shule ya msingi Medelii wakisubili kukabidhiwa madawati ya msaada toka shule ya Dar -ul- muslimeen |
Tags
ELIMU













