Nyumba zaidi ya 13,000 zimeachwa
bila umeme leo kufuatia gharika Imogen kuikumba Uingereza ikiambatana
na upepo wenye kasi ya 100mph.
Gharika hiyo imeathiri eneo la
kusini na kuwafanya wasafiri wawe na wakati mgumu, wakati watoto
wawili wakikimbizwa hospitali baada ya ukuta kuwaangukia.
Kumetolewa tahadhari za mafuriko
zaidi ya 280 huku huko Wales malori yakizingira na maji huku mvua
kubwa zaidi ikitarajiwa kunyesha leo.
Gari lililosombwa na upepo wa gharika likiwa limeanguka chini
Maafa miti nayo haikusalimika kama inavyoonika hapa ukiwa umeangukia gari
Tags
KIMATAIFA



