Yaya Toure amefunga penati muhimu
huku kipa wa Manchester City Willy Caballero akigeuka shujaa kwa
kuokoa penati tatu na kuisaidia timu yake kutwaa kombe la Capital
One, kwa ushindi wa mabao 3-1.
Golikipa Caballero alipangua penati
zilizopigwa na wachezaji wa Liverpool Lucas Leiva, Coutinho pamoja na
Lallan, katika mchezo ulioishia dakika 90 kwa sare ya 1-1, na
kuamuliwa kwa mikwaju ya penati.
Golikipa Willy Caballero akiinasa penati nyingine
Shujaa kipa Caballero akibebwa na kurushwa juu baada ya kuipa ushindi Manchester City
Tags
MICHEZO KIMATAIFA



