
Kijana wa Kitanzania Desmond
Andrew ameanzisha kampuni ya Mawasiliano ya CW Net ambayo inatengeneza
Power Bank, Smart Bracelet na Modem. Hakika Tanzania kuna vijana wengi
kama Desmond Andrew lakini tatizo kubwa linalowakabili ni upatikanaji wa mtaji wa kuendeleaza vipaji vyao.
Mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Mawasiliano ya CW Net akimtoa ufafanuzi Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) kuhusu Smart Bracelet na kazi zake katika maonesho yaliyoandaliwa na shirika la
Viwango nchini Tanzania(TBS) yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini
Dar es Salaam.
Viwango nchini Tanzania(TBS) yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF,
Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) akiuliza swali mara alipotembelea
banda la CW Net maonesho ya Makampuni ya Kitanzania yanayotoa bidhaa
yenye viwango vya kutosha hapa nchini.
Smart
Bracelet hiki ni kifaa mojawapo kinachotengenezwa na kampuni ya
Mawasiliano ya CW Net ambacho kifaa hicho kinahesabu hatua ambazo mtu
ametembea nani kwa kiasi gani nguvu uliyoitumia pamoja na kukontrol muda
unaolala na unaoamka, pia pia kifaa hicho kinaweza kuunganishwa na simu
ya smartphone yako na kutambua simu ikiwa inaita kwa umbali wa mita
kumi(10)

Hakika penda cha nyumbani
Tags
HABARI KITAIFA