BANDA MEDIA BLOG

TASWILA YA BARABARA YA 11 INAYOKATIZA SOKO LA MAJENGO MJINI DODOMA





Vyombo vya usafiri vikipita kwa taabu katika barabara ya 11 nje ya Soko kuu la majengo, ambapo barabara hiyo imelalamikiwa na wafanyabiashara sokoni hapo wakidai serikali imeilekeza. IMEANDALIWA NA BANDA BLOG





 Baadhi ya maduka yaliyotazamana na soko kuu la majengo yakiwa wazi huku madimbwi ya maji yaliyosabaishwa na mvua yakiwa yametuamisha maji nje ya maduka hayo ambayo tayari hofu ya mlipuko wa Kipindupindu imetanda kutoka kwa wenyeji. 


Magari yakishusha mataunda ya aina mbalimbali nje ya soko kuu la majengo mjini Dodoma huku barabara yake ikiwa imeharibika vibaya na kusababisha usumbufu kwa madereva na wafanyabiashara waliopo eneo hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG