BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA ASKOFU MKUU WA EAGT DR. BROWN MWAKIPESILE MJINI DODOMA

Muonekano wa jukwa lilivyokuwa
Meza kuu

  Waziri mkuu Majaliwa Kassimu Majaliwa akifafanua jambo wakati alipokuwa akiwahutubia waumini wa kanisa la EAGT, alipokuwa mgeni Rasmi wakati wa kuapishwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Hilo Brown Mwakipesile aliyeteuliwa mwishoni mwa mwakajana.
 Waziri Mkuu Majaliwa Kassimu Majaliwa akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Brown Mwakapesile, wakati wa sherehe ya kumsimika Rasmi Askofu huyo.

Mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya Kipentekoste Nchini Askofu David Batenzi ambae pia alikuwa msimamizi wakati wa kuteuliwa kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Brown Mwakaipesile mwishini mwa mwaka jana, akizungumza jambo wakati wa kusimikwa rasmi kwa Askofu huyo. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Waziri mkuu Majaliwa Kassimu Majaliwa akipokea Risala ya kanisa la EAGT toka kwa Katibu Mkuu wa kanisa hilo Dkt, Leonard Mwizarubi katika sherehe ya kumuapisha rasmi Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Brown Mwakipesile.
Kwaya mbalimbali zikitumbuza kwa nyimbo


Wachungaji wa makanisa ya EAGT wakaiwa katika sherehe hizo

 Mke wa Askofu wa Kwanza wa Kanisa la EAGT, Dkt, Moses Kolola, Bi Janeth Kulola katikati akipunga mikono wakati wa ibada maalumu ya Kumsimika Rasmi Askofu wa Pili wa Kanisa Hilo Brown Mwakipesile iliyofanyika mjini Dodoma

Familia ya Askofu Mkuu EAGT
Mgeni Maalum akiwa na mkewe
Mmissional Ralph Hagemeier akielezea jambo wakati alipokuwa akihubiri katika kanisa la EAGT Mail Mbili mjini Dodoma, Muda mfupi kabla ya Kumsimika Rasmi Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Brown Mwakipesile.
Akimsimika Rasmi
Zawadi ya Biblia
Mgeni Maalumu Ralph Hagemeier akimpa maelekezo ya Jinsi ya Kufanya kazi ya Uaskofu Askofu mkuu wa kanisa la EAGT Brown Mwakipesile huku Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa Akishuhudia pamoja na kiongozi mwingene wa kanisa hilo

 Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT Brown Mwakipesile Akipongezwa kwa kupewa zawadi ya Ua na Mkewe mara baada ya Kusmikwa Rasmi na kuwa Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT.

Katibu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Dtk, Leonard Mwizalubi akifurahijambo baada ya kupokea zawadi ya ua toka kwa Mkewe mara baada ya kuwekewa Mkono tayari kwa kazi ya utumishi wa kanisa hilo
 Askofu mkuu wa EAGT, Brown Mwakipesile akimkabidhi zawadi ya Sanamu ya Mnyama Faru Waziri mkuu kama ishara ya kuikumbusha Serikali kuongeza juhudi ya kuwalinda maliasili za Nchi.
Zawadi ya Sanamu ya Mnyama Kifaru kwa Waziri mkuu
  Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Brown Mwakipesile akisoma jambo mara baada ya kusimikwa rasmi kushika Wazifa huo wa ngazi ya juu kabisa kikanisa nchini.

Wachungaji wa makanisa ya EAGT wakaiwa katika sherehe hizo

 Waziri Mkuu Majaliwa Kasssimu Majaliwa akimpa zawa ya picha ya Mlima huku ikiwa na ujumbe wa Kibiblia Askofu Mkuu wa EAGT, Brown Mwakipesile wakati wa kusimikwa kwa Askofu Huyo mjini Dodoma
picha ya pamoja


 Waziri Mkuu Majaliwa akisalimiana na Mke wa aliyekuwa Askofu wa Kwanza wa kanisa la EAGT, Dkt, Moses Kulolakwenye sherehe hizo

Waziri Majaliwa Akiwaaga waumini wa kanisa la EAGT hawapo pichani wakati akiondoka katika viwanja vya kanisa hilo Maili Mbili Dodoma huku akisindikizwa na Askofu aliyesimikwa Brown Mwakipesile

 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG