BANDA MEDIA BLOG

SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI YAFANYAKA DODOMA KITAIFA



Mkurugenzi mtendaji wa shirika linalopinga ukatili wa kijinsia na Mila Potofu AFNET, Sara Mwaga akisoma hotuba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi Zinazopinga Ukeketaji Nchini  
Mwakilishi Mkazi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa anayeshuhulikia Idadi ya watu (UNFPA) Christine Mwanukuzi Kwayu akiongea kwenye siku ya kimataifa ya  kupinga Ukeketaji Iliyofanyika Dodoma
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Dkt, Jasmine Tiisike akiongea jambo kwenye ukumbini hapo
Waziri wa Afya, jinsia, watoto na wazee Ummi Mwalimu akifafanua Jambo wakati alipokuwa akitoa hotuba kwenye kilele cha siku ya Kimataifa ya Kupinga ukeketaji iliyofanyika kitaifa Mjini Dodoma  IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG
Afsa Mipango wa Kituo cha Sheria Jinsia, Watoto na haki za Binadamu  Naemy Sillyo akifurahia Jambo wakati alipokuwa akimshukuru Mgeni Rasmi naibu Waziri wa Afya Ummi Mwalimu mara baada ya kumaliza kutoa Hotuba yake.




Wanafunzi wakiwa ukumbini hapo

Siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji ikiendelea mjiniDodoma


PICHA YA PAMOJA

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG