Mkurugenzi
Mkuu wa Bank Of Africa Ammishi Owusu-Amoah akisisitiza jambo wakati wa
ufungaji wa Warsha hiyo ya Siku mbili ilioandaliwa na Bank Of Africa kwa
ajili ya wafanyabiashara na wadau kuweza kuweza kufanya Mpango wa
Biashara.
Mtaalam
wa Banking Tanzania Bwa,Michael Alcorn akitowa maelezo wakati wa Warsha
hiyo ya Siku mbili kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar ilioandaliwa na Bank
Of Africa Tanzania iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia Mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mafunzo hayo.
Washiriki
wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa
Bank of Africa wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Meneja
SME Banking Albert Nsato akizungumzia jinsi ya Bank yao inavyowajali
wateja wao katika kuwapatia Mikopo kwa Wafanyabiashara Wakubwa na
Wajasiriamali.
Meneja
Bank of Africa Tawi la Zanzibar Ndg. Juma Burhan akizungumza wakati wa
Warshac hiyo huduma zinazopatikana katika Bank yao kwa Wateja wao.
Washiriki
wa Warsha hiyo wakiwa katika makundi kujifunza jinsi ya kupanga Mpango
wa Biashara Zao ili kujenga na Kuboresha Uwezo wa Biashara.
Washiriki
wakiwa katika makundi kujifunza kuboresha na kujenga Uwezo wa Biashara
zao wakati wa Warsha hiyo ilioandaliwa na Bank Of Africa kwa
Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Zanzibar.

wakiwasilisha kazi za makundi yao baada ya kutengeneza Mpango wa
Biashara wakati wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wafanyabiashara na
Wajasiriamali ili kuwajengea Uwezo wa kutengeneza Mpango wa Kuboresha na
Kujenga Biashara zao ili kuzikuza.

Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania Ndg. Ammish Owusu-Amoah akimkabidhi
cheti mmoja wa washiriki wa Mafunzo hayo kulia Mshauri wa Banking
Michael Alcorn, mafunzo hayo wa Siku Mbili yaliowashirikisha
Wafanyabiashara na Wajasiriamali na Wadau Zanzibar.

Imeandaliwa na OthmanMapara.Blogspot.com Zanzinews.com
Tags
BIASHARA