Mariamu Hussein akihudhuria harambe
ya kumchangia iliyofanyika siku ya Jumamosi Silver Spring, Maryland
nchini Marekani na kuhudhuriwa na WanaDMV na marafiki zao. Mariam
Hussein nasumbuliwa na ugonjwa wa saratani.

Vitu mbalimbali vilivyoletwa na
WanaDMV kwa ajili ya kuvipiga mnada kwenye harambee iliyofanyika siku ya
Jumamosi March 12, 2016 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

WanaDMV na marafiki zao waliohudhuria
harambee ya Mariam Hussein (wanne toka kushoto) iliyofanyika siku ya
Jumamosi March 12, 2016 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Baadhi
ya WanDMV wakiendelea kupata mapochopocho kwenye harambee ya kumchangia
Mariam Hussein (hayupo pichani) iliyofanyika siku ya Jumamosi March 12,
2016 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mariam Hussein (kati) akiwa na
familia yake kwenye harambee ya kumchangia fedha za matibabu ya saratani
iliyofanyika siku ya Jumamosi March 12, 2016
Mnada ukiendelea
Vitu mbalimbali vilivyoletwa katika
mnada wa harambee ya Mariam Hussein uliofanyika siku ya Jumamosi March
12, 2016 Silver Spring, maryland nchini Marekani.
Mariam Hussein (kati) akifuatilia
Harambee ya mnada wa kuwezesha kupatikana kwa fedha za matibabu ya
Saratani siku ya Jumamosi March 12, 2016 Silver Spring, maryland nchini
Marekani.
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Picha ya pamoja
Tags
HABARI KITAIFA








