Tangu kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ikishikiliwa na viongozi mbalimbali.
Kuanzia mwaka 1965, viongozi waliowahi kushika nafasi hiyo ni:
Abeid Amani Karume (1965–1972)
Aboud Jumbe Mwinyi (1972–1984)
Ali Hassan Mwinyi (1984–1985)
Joseph Sinde Warioba (1985–1990)
John Samuel Malecela (1990–1994)
Cleopa David Msuya (1994–1995).
Kuanzia mwaka 1995, Tanzania ikawa na Makamu mmoja wa Rais. Nafasi hiyo imewahi kushikiliwa na:
Omar Ali Juma (1995–2001)
Ali Mohamed Shein (2001–2010)
Mohamed Gharib Bilal (2010–2015)
Samia Suluhu Hassan (2015–2021)
Philip Isdor Mpango (2021–2025)
Emmanuel Nchimbi (2025–2026).
Kabla ya mfumo wa Makamu mmoja, Tanzania pia ilikuwa na nafasi ya Makamu wa Pili wa Rais, iliyowahi kushikiliwa na Rashidi Mfaume Kawawa, Idris Abdul Wakil na Salmin Amour.
Baada ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu, CCM imemteua Deogratius Ndejembi kuwa mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo ulitangazwa Agosti 26, 2026 ikiwa ni pamoja na Bunge Kumthibisha kwa kura za asilimia 100 siku mbili baadae.