| Kwaya wa Wana wa Asaf wakitumbuiza ndani siku ya kusimikwa kwao |
| Wachungaji wakiisimika Rasmi kwa ajili ya kutoa huduma ya uimbaji ndani na nje ya maweni kwaya hiyo |
| Kwaya wachungaji watarajiwa wanasoma Chuo cha Biblia Msalato wakiimba katika uzinduzi huo |
| Mwanafunzi katika chuo cha Kichungaji cha Anglican Msalato Dodoma 'KIBA' Akihubiri katika Uzinduzi wa Jina la Kwaya hiyo. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| Baadhi ya Viongozi wa Kwaya ya Wana wa Asaf wakiwa katika picha ya pamoja |
| MC TAXSON MWAKIAMBO |
| Diwani wa kata ya Nzuguni Aloyce Luwega akizungumza jambo wakati wa kuichangia kwaya hiyo ambapo aliahidi kutoa vifaa mbalimbali vya muziki. |
| Diwani akimpongeza mwalimu wa kwaya hiyo |
Tags
KIBURUDANI