BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA AFYA MHE. UMMY MWALIM LEO

umy1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.

umy2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi. (Picha na OMR)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG