Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akikagua
baadhi ya nyaraka za kituo cha tiba Mbadala cha Korea Medical Clinic
kilichopo Kariako0 Mtaa wa Livingstone na Mahiwa jijini Dar es Salaam
akiwa katika ziara ya kushtukiza ambapo alifungia vituo viwili vya
Korea Medical Clinic na kituo cha
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba
Asili Bw. Edmund Kayombo akizungumza na waandishi wakati wa zoezi la
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt.
Hamisi Kigwangalla la kukagua vituo vya tiba mbadala ambavyo havijakidhi
vigezo.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akitoa
maagizo kwa mmoja wa matabibu wa kituo cha Korea Medical Clinic
kilichopo Kariako0 Mtaa wa Livingstone na Mahiwa jijini Dar es Salaam
akiwa katika ziara ya kushtukiza ambapo alifungia vituo viwili vya
Korea Medical Clinic na kituo cha
: Baadhi ya vifaa vinavyotumiwa na vituo vya tiba mbadala ambavyo havijakidhi vigezo.
Tags
AFYA