BANDA MEDIA BLOG

MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA VIWANDA WA OMAN

om1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed  Al Sunaidy Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Aprili 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
om2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt. Ally Mohamed Al  Sunaidy (wapili kushoto)  na ujumbe wake  baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 14, 2016.Wapili kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

om3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Biashara wa Oman, Dkt Ally  Mohamed  Al Sunaidy baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG