BANDA MEDIA BLOG

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

b1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
b2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Kiongozi wa upinzani bungeni  Freeman Mbowe , mjini Dodoma Mei 19, 2016.
b3Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya wizara hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.
b4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma Mei 19 , 2016. Wapli kushoto  ni Waziri wa Ardhi,, nyumba  na Maendeleo ya Makazi,, William Lukuvi na watatu kushoto ni Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi.
b5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Rwakatare kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG