Wabunge mjini Dodoma wamiminika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa mambo
ya ndani Charles kitwanga ,mawaziri na wabunge wamechukua hatua ya
kwenda kumuona aliyekuwa waziri mwenzao na alisikika waziri mmoja
akisema kuwa
" hili si jambo la kucheka kwani hii ni kama ajali ya kisiasa iliyomtokea mwenzetu kwani toka atenguliwe nafasi yake hayuko sawa lakini tunaimani atakuwa sawa tu, ndiyo maana tumekuja kumpa pole na kumfariji" alisikika waziri mmoja.

Tags
SIASA