BANDARI YA KUHUDUMIA NCHI 3 ZA AFRICA MASHARIKI KUJENGWA KATIKATIKA YA NCHI
byJohn Banda-
0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.
Jordan Rugimbana (Kulia) akizungumza na Viongozi wa Masoko yaliyopo Mkoani
Dodoma juu ya kuboresha biashara za masoko na kuchangamkia fursa za kibiashara
wakati wa Mkutano na wafanyabiashara hao Juni 2, 2016.
Sehemu ya Viongozi wa Masoko
yaliyopo Mkoani Dodoma wakifuatilia mazungumzo baina yao na Mkuu wa Mkoa huo Mhe.
Jordan Rugimbana (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa majadiliano ya kuboresha
biashara za masoko na kuchangamkia fursa za kibiashara Mkoani Dodoma, Juni 2,
2016.
Mwenyekiti wa Soko la Wamachinga
la Rehema Nchimbi Complex Nobert Pangaselo (aliyesimama) akichangia jambo
wakati wa mkutano wa majadiliano ya kuboresha biashara za masoko na kuchangamkia
fursa za kibiashara Mkoani Dodoma ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Jordan
Rugimbana, Juni 2, 2016. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG