Richard Kasesela ni kati ya Wakuu wa wilaya 39 ambao wamebakia katika
nafasi zao katika kazi ya ukuu wa Wilaya baada ya Jana Magufuli
kutangaza wakuu wa Wilaya wapya..
Baada ya Kutangazwa Wakuu wa wilaya wapya Richard Kasesela Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook:
Baada ya Kutangazwa Wakuu wa wilaya wapya Richard Kasesela Ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook:
"Nashukuru Mh Rais namuomba Mungu azidi kunipa nguvu kuwatumikia wana Iringa na Taifa kwa ujumla."
Tags
HABARI KITAIFA