KATIBU MKUU CHAMA CHA KIKOMINISTI BW. LIU ZHIJUN AKAMILISHA ZIARA YAKE ZANZIBAR NA KUELEKEA DAR-ES SAALAM
byJohn Banda-
0
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akizungumza na
Mgeni wake Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun baada ya
kukamilisha ziara yake Nchini Zanzibar.
VIONGOZI
wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsindikiza mgeni wao Katibu Mkuu Chama
cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun wakati alipofika Bandarini Mjini
Zanzibar.
MWENYEKITI
wa CCM Wilaya ya Mjini Borafya Silima Juma akiagana na Katibu Mkuu
Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na
kuelekea Dar es Saalamu.
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharib Ayoub Mohammed akiagana na Katibu Mkuu
Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na
kuelekea Dar es Saalamu.
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akiagana na
Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka
Bandarini na kuelekea Dar es Saalamu.KATIBU
Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun aliyevaa nguo nyeusi
akiingia katika Boti ya AV KILIMANJARO alikielekea Dar es Saalamu baada
yakumaliza ziyaza yake Zanzibar.