| Mmoja wa wafanya uhakiki akiendelea kuhakiki majina ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] waliiosajiliwa na Bodi ya Mikopo Nchini. |
| Makamu wa rais wa wanafunzi kitivo cha sayansi ya jamii Neema Msafiri akiongea wakati uhakiki huo ukiendelea |
| Wanafunzi UDOM wakiendelea kuhakikiwa chuoni hapo jana IMEANDALIWA NA BANDA BLOG |
Tags
ELIMU