BANDA MEDIA BLOG

KILELE CHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU SALAMA KITAIFA CHAFANA MJINI DODOMA HUKU LENGO LIKIVUKWA

Wachangia Damu wakiendelea na zoezi hilo katika viwanja vya nyerere Square mjini Dodoma

Dkt Leah wa Kitengo cha kuchangia Damu salama cha mkoa wa Dodoma akiendelea kusajili wachangia Damu

Wanadodoma wakisubili kuchangia Damu  IMEANDALIWA NA BANDA BLOG

Damu iliyokwishapatikana

Mbunge wa viti maalumu kupitia wasomi wa vyuo vikuu Ester Mmasi akizungumza jambo wakati wa kilele hicho

Mbunge wa Dodoma Anthon Mavunde akizungumza kwenye maadhimisho hayo

Kaimu Meneja wa Mpango wa Damu salama DK, Abdul Juma akifafanua jambo wakati wa kilele  hicho

Cheti cha kutamburiwa kama mbeba agenda wa kuhamasisha uchangiaji wa Damu salama kikaenda vyuo vikuu vilivyopo Dodoma na kwa Mbunge anayewawakilisha Ester Mmmasi

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akitoa hutuba katika maadhimisho hayo

Wasanii mbalimbali wakitoa Burudani


MC's Sara na Chaopa


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG